UNAWEZA VTC ni chuo cha Ufundi Stadi na kimesajiliwa kwa namba REG/NACTVET/1004P. Chuo kipo Maeneo ya KISONGO, Mtaa wa Mlimani, 23125, Kata ya Olmoti — Kiwanja namba 1130, Mlima wa Mateves, Jijini Arusha; jirani na Braeburn International School.

Muhula wa kwanza wa mafunzo ya muda mrefu ni Januari kila mwaka; na ya muda mfupi yanaanza wakati wowote wakisajiliwa wanafunzi wasiopungua watano (5) kwa kozi.
Nafasi za Bweni na kutwa zipo kwa jinsia zote kwa fani zilizoainishwa kwenye kipeperushi (leaflet) kinachotolewa Januari kila mwaka.
 
JAZA FOMU HAPO CHINI:


*
*
*
*