Fomu ya kujiunga na chuo

Ikiwa unahitaji kujiunga na Kozi yoyote tunayofundisha chuoni Unaweza VTC, pakua fomu hapa mtandaoni, jaza na tuma kwa barua pepe: info@yastanzania.org

Tangazo la Mafunzo ya Ufundi Stadi

Mafunzo kwa mwaka 2025/2026

Tangazo la mafunzo ya Ufundi Stadi na Udereva- Sept 2025

Unaweza VTC Audio Advert